Contact Us / Contáctenos / اتصل بنا / Hubungi Kami / Wasiliana nasi

Use the form on the right to contact us.

Utilice el formulario a la derecha en contacto con nosotros.

استخدام النموذج على الحق في الاتصال بنا.

Gunakan form di sebelah kanan untuk menghubungi kami.

Kutumia fomu ya haki kuwasiliana nasi.

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

HABARI KWA WATETEZI

Hizi ni baadhi za habari kwa watetezi wa haki za binadamu kuhusu jinsi ambavyo wanaweza kutathmini hatari, kumudu usalama, na kupokea msaada wa ulinzi. Hizi zimetolewa na mashirika tofauti na zinapatikana kwa lugha mbalimbali.  

Sehemu ya kwanza inatoa viungo kwa vitabu vya mwongozo.

Sehemu ya pili inatoa habari kwa habari zingine za ulinzi, kama ruzuku za dharura, ruzuku za kuhama kwa muda; malipo kwa kazi za haki za binadamu, mafunzo mtandaoni, na taratibu za uanazuoni.

Sehemu ya tatu inatoa viungo kwa hati muhimuzinazohusiana na ulinzi wa watetezi. 


Sehemu ya kwanza: Vitabu vya Mwongozo

Vitabu hivi vya mwongozo huwasaidia watetezi kutathmini hatari na vitisho wanavyopata, kutambua mazingira yao magumu na uwezo, na kukuza mpango wa utekelezaji ili kuzuia na kukabiliana na vitisho na mashambulizi.  Vinaangazia masuala mbalimbali ya usalama, yakijumuisha usalama wa kimwili, usalama wa kidijitali, na ustawi wa hisia.

Bofya kwenye picha ili kupata habari

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Protection International: Kitabu Kipya cha Mwongozo kwa Watetezi wa Haki za Binadamu

Kitabu hiki cha mwongozo kinapatikana kwa  KiingerezaKifaransa na Kispanishi.

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Kitabu cha Mwongozo cha Kujitunza na Kujilinda kwa Wanawake Wanaharakati

Kitabu hiki cha mwongozo kinawasaidia wanawake wanaharakati kutafakari katika muktadha yao, kujielewa zaidi na kujitunza. Inapatikana kwa Kiingereza na  Kispanishi.

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Front Line Defenders: Kitabu Kuhusu Usalama

Kitabu hiki kinapatikana kwa lugha mbalimbali, ikijumuisha Kiingereza, Kifaransa, Kirusi, Kiarabu, Kireno, Kichina, Kiurdu na Kidari.  

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Usalama Kamilifu: Kitabu cha Mwongozo

 

Kitabu hiki cha mwongozo kinawasaidia wawezeshaji kuendesha warsha kwa watetezi ili kuwasaidia kuongeza ufahamu wao wa usalama, kubadilisha mitazamo dhidi ya ulinzi, na kuendeleza mikakati endelevu ya usalama. Inapatikana kwa Kiingereza.

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Tactical Technology Collective: Usalama Kiujumla- Kitabu cha Mwongozo kwa Watetezi wa Haki za Binadamu

Kitabu hiki cha mwongozo cha usalama na ustawi unalenga jinsi ya kuunganisha usalama wa kidijitali, ustawi wa kimwili na kijamii, na taratibu za usalama za mashirika. Inapatikana kwa Kiingereza. 

Toolkit for Latin American Women H 
 

 
 
 
Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" …

Toolkit for Latin American Women H

Kitabu cha Mwongozo cha Wanawake wa Amerika Kusini Watetezi wa Haki za Binadamu Wanaoshughulikia Masuala ya Ardhi na Mazingira

 

Mwongozo huu unaopatikana mtandaoni unatoa habari kuhusu ulinzi kwao watetezi waliomo hatarini. Unajumuisha mwongozo kwa  mashirika yanayowalinda watetezi;  zawadi; taratibu za uanazuoni; ruzuku za dharura; vitabu vya mwongozo, n.k. 

Normal
0




false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Security-in-a-Box

Vitabu hivi vya mwongozo kuhusu usalama wa kidijitali vinafafanua hatari ambazo watetezi hukumbana nazo katika utumizi wa tarakilishi, simu ya rununu, mtandao, na vifaa vingine. Pia, vinaangazia usalama wa data na faragha. Vinapatikana katika lugha mbalimbali, ikijumuisha Kiingereza, Kispanishi, Kiarabu, na Kibahasa Indonesia


Sehemu ya Pili:  Habari zingine za Ulinzi

 

ProtectDefender.eu&nbsp;inawapa watetezi waliomo hatarini na ruzuku za dharura; ruzuku za kuhama kwa muda; mafunzo; na malipo kwa kazi ya haki za binadamu.&nbsp;

ProtectDefender.eu inawapa watetezi waliomo hatarini na ruzuku za dharura; ruzuku za kuhama kwa muda; mafunzo; na malipo kwa kazi ya haki za binadamu. 

Normal
0




false
false
false

EN-GB
X-NONE
X-NONE

 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 <w:LatentStyles DefLockedState="false" DefUnhideWhenUsed="false"
DefSemiHidden="false" DefQFormat="false" DefPriority="99"
LatentStyleCount="3…

Kitovu cha watetezi wa haki za binadamu katika Kituo cha Centre for Applied Human Rights

CAHR inatoa habari kadhaa kwa watetezi wa haki za binadamu waliomo hatarini, ikiwemo: masomo mtandaoni , Taratibu ya Uanazuoni wa Ulinzi; msururu wa maandishi ya utafiti ya mwanzo; miradi ya utafiti; na warsha za mara kwa mara zinazowaleta pamoja wasomi, weledi na watetezi pamoja ili kutafakari juu ya maendeleo ya mfumo wa ulinzi wa watetezi waliomo hatarini.  


Sehemu ya Tatu: Hati muhimu

 

Azimio la Haki na Majukumu ya Watu, Makundi na Maungo ya Jamii ili Kuendeleza na Kuzilinda Haki za Binadamu na Haki za Kimsingi Zinazotambuliwa Ulimwenguni ( almaarufu Azimio la Watetezi wa Haki za Binadamu) inaelezea kanuni na haki zinazohusiana na haki ya kutetea haki za binadamu. Inapatikana katika lugha tofauti, ikijumuisha  KiingerezaKispanishiKiarabuKibahasa Indonesia na Kiswahili.

Mwongozo wa Umoja wa Ulaya wa Kuwasaidia Watetezi wa Haki za Binadamu  unatoa mwongozo kwa mabalozi ya EU kuhusu jinsi ambavyo wanaweza kuwasaidia na kuwalinda watetezi waliomo hatarini katika nchizisizo za EU. Inapatikana kwa lugha mbalimbali, ikijumuisha Kiingereza na Kispanishi 

Katibu maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika naHali ya Watetezi wa Haki za Binadamu ana mfumo wa malalamishi wa watetezi waliomo hatarini, na yeye huripoti mara kwa mara kwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Haki za Binadamu. Ripoti hizi zinapatikana kwa  lugha mbalimbali, ikijumuisha Kiingereza, Kispanishi na Kiarabu.