Contact Us / Contáctenos / اتصل بنا / Hubungi Kami / Wasiliana nasi

Use the form on the right to contact us.

Utilice el formulario a la derecha en contacto con nosotros.

استخدام النموذج على الحق في الاتصال بنا.

Gunakan form di sebelah kanan untuk menghubungi kami.

Kutumia fomu ya haki kuwasiliana nasi.

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

KUHUSU UTAFITI HUU

Maelezo kuhusu miradi

Kuepuka Hatari, Kumudu Usalama, Kupokea Msaada

Mradi huu unalenga jinsi ambavyo watetezi wa haki za binadamu huepuka hatari, humudu usalama wao, na kupokea msaada wa usalama katika nchi tano- Kolombia, Meksiko, Kenya, Misri na Indonesia.

Tuliwahoji watetezi waliokumbana na hatari, vitisho au mashambulizi miaka mitano iliyopita. Tulitumia ufafanuzi mpana wa 'mtetezi wa haki za binadamu' jinsi ilivyotumiwa katika Azimio la Haki na Majukumu ya Watu Binafsi, Makundi na Maungo ya Jamii ili Kuendeleza na Kulinda Haki za Binadamu na Uhuru wa Kimsingi Zinazotambuliwa Ulimwenguni (almaarufu Azimio la Watetezi wa Haki za Binadamu), yaani, mtu yeyote anayeendeleza na kujitahidi katika ulinzi na kuafikiwa kwa Haki za binadamu na uhuru wa kimsingi.

Tuliwajumuisha watetezi kutoka matabaka pana na wanaolenga haki pana. Tuliazimia kuwa na nambari sawa za wanaume na wanawake tuliazimia kuwajumuisha watu wenye jinsia tofauti na maumbile yao ya kike au kiume. T uliwafikia  kimakusudi watetezi ambao hujihusisha na haki za wanawake na mwelekeo wa kijinsia na haki za kitambulisho cha kijinsia, pamoja na watetezi ambao wamefanywa wahalifu kwa sababu za kazi zao za haki za binadamu.

Wengi walishiriki katika mahojiano kibinafsi au kikundi maalum na kukamilisha majibu ya utafiti. Idadi ndogo wahojiwa walimaliza kujibu maswali bila kuhudhuria mahojiano au kikundi. Mahojiano yalifanywa kwa lugha za Kiingereza, Kispanishi, Kiswahili, Kiarabu na Kibahasa Indonesia. Tulipokea ruhusa ya maadili ya utafiti wetu Juni 2015. Ukusanyaji wa data ulianza Julai 2015 na kukamilishwa mnamo Novemba 2016.

Huu ni utafiti mkubwa zaidi wa aina yake.

Timu and Watafiti

Mchunguzi mkuu:

  • Alice Nah

Watafiti:

  • Peter Cousins na Emily Schmitz (Kolombia)

  • Erick Monterrosas na Paola Pacheco Ruiz (Meksiko)

  • Sherif Azer (Misri)

  • Irina Ichim na Patrick Mutahi (Kenya)

  • Indira Fernida na Budi Hernawan (Indonesia)

Watafiti wasaidizi:

  • Patricia Bartley na Katrina Maliamauv

Mwezeshaji wa Kazi ya Sanaa:

  • Juliana Mensah

Wasaidizi Mwanafunzi

  • Helen McCall

  • Emilie Oelgaard

  • Mohamed Erwa Abdelhafez Babiker

Watafsiri

  • Gemma Sunyer

  • Salem Loret

  • Kurniati Shinta Dewi

  • Tariq M. Suleiman

Michoro

Wanachama wa Bodi ya Ushauri

  1. Andrew Anderson, Mkurugenzi, Front Line Defenders

  2. Enrique Eguren, Mtafiti Mkuu, Kituo cha Sera, Utafiti na Mafunzo, Protection International

  3. Susi Bascon, Mkurugenzi, Peace Brigades International UK

  4. Hassan Shire, Mkurugenzi Mtendaji, East and Horn of Africa Human Rights Defender Project

  5. Anne-Sophie Schaeffer, Mkurugenzi wa Mipango, Euro-Mediterranean Foundation of Support to Human Rights Defenders

  6. Claudia Samayoa, Mratibu, UDEFEGUA, Guatemala

  7. Ruki Fernando, Mwenyekiti, Rights Now Collective for Democracy, Sri Lanka

  8. Bahey el din Hassan, Mkurugenzi, Cairo Institute for Human Rights Studies, Misri

  9. Paul Gready, Mkurugenzi, Center for Applied Human Rights, University of York